Psalms 18:50

50 aHumpa mfalme wake ushindi mkuu,
huonyesha fadhili zake kwa mpakwa mafuta wake,
kwa Daudi na wazao wake milele.
Copyright information for SwhNEN